sw_tn/neh/06/17.md

36 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tuma barua nyingi
Waheshimiwa waliwatuma wajumbe kuleta barua hizi kwa Tobia. AT "aliwatuma wajumbe wengi kwa barua"
# Barua za Tobia zilikuja
Hapa barua za Tobia zinajulikana kama kuja kwa wenyewe, wakati zilipoletwa na wajumbe. AT "Tobia alituma barua" au "Tobia aliwatuma wajumbe wengi kwa barua"
# Tobia
Tafsiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya
# ambao walikuwa wamefungwa kwa kiapo kwake
Hii inazungumzia watu kuwa waaminifu kwa Tobia kwa sababu walikuwa wameahidi kiapo kwake kama kwamba kiapo chao kilikuwa kamba kilichofunga miili yao. AT 'aliyemapa kiapo' au 'aliyefanya kiapo na kuwa mwaminifu kwake'
# alikuwa mkwe wa Shekania
2021-09-10 19:21:44 +00:00
mkwe wa Shekania - Hii ina maana kwamba Tobia alikuwa amemuoa binti wa Shekania. Tafsiri jina "Shekania' kama ulivyofanya katika 3: 28.
2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ara........ Yehohanani
Haya ni majina na watu
# Meshulamu ...... Berekia
Haya ni majina ya watu. kama ilivyotafsiliwa 3:3
# Pia walizungumza nami kuhusu matendo yake mema na kumwambia maneno yangu
'Waheshimu wa Kiyahudi waliniambia kuhusu matendo mema ya Tobia na kisha nikamwambia kuhusu majibu yangu'
# Barua zilitumwa kwangu kutoka kwa Tobia
Hii inaweza kuelezwa katika fomu ya kazi. Tobia aliwatuma wajumbe kuleta barua kwa Nehemiya. AT "Tobia alipeleka barua kwangu" au "Tobia aliwatuma wajumbe kuleta barua kwangu"