sw_tn/nam/02/08.md

16 lines
298 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nyara
Vitu vilivyoibiwa kwa nguvu, hasa katika vita.
# hakuna mwisho wake
TN: "kuna kiasi kikubwa"
# fahari ya vitu vyote vizuri vya Ninawi
inaweza kumaanisha: 1) "vitu tele vyote vizuri" au 2) "kiasi cha vitu vyote vizuri"
# Moyo wa kila mtu unayeyuka
"Watu wote wamepoteza ujasiri wao"