sw_tn/mic/07/14.md

20 lines
744 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Chunga watu wako kwa fimbo yako, kundi la urithi wako
Mika anaomba kwa Yahwe, akimuuliza kuwalinda watu wake wa Israeli tena. Hapa "fimbo" inawarejea wakuu wa Mungu na kuongoza, kama mchungaji atumiavyo fimbo kuongoza na kuzilinda kondoo zake.
# Wanaishi wenyewe kwenye msitu
Mika anamaanisha kwamba baadhi ya watu wanaishi ambapo aridhi ni maskini na wamejitenga na hawawezi kujipatia bidhaa zinazohitajiaka.
# Waache wachunge katika Bashani na Gileadi
Hii mikoa inajulikana kama nchi tajiri kwa kukuza chakula. Hivyo Mika anauliza upanuzi zaidi wa eneo, ambalo lilikuwa limepotea kwa wavamizi miaka ya nyuma.
# kama siku za zamani
Hii inaweza kurejewa wakati Suleimani alipokuwa mfalme.
# Nitaonyesha
Hapa "mimi" inamrejea Yahwe.