sw_tn/mic/05/04.md

28 lines
936 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Hii mistari inaendelea kumwelezea mtawala kutoka Bethelehemu.
# Atasimama na kulichunga kundi lake kwa nguvu za Yahwe
"Atawaongoza watu wake katika nguvu ya Yahwe."
# katika ukuu wa enzi ya jina la Yahwe Mungu wake
"katika mamlaka ya nguvu ya Yahwe Mungu wake"
# Watabaki
Hapa "wao" inawarejea watu wa Israeli. Neno "Israeli" au "Yerusalemu" imehusika. "Watu watabaki Israeli" au "Watu watabaki katika Yerusalemu"
# kwa kuwa atakuwa mashuhuri hata mwisho wa dunia
Hii inamaanisha kwamba mbeleni watu wote kutoka kila taifa watatoa heshima kwa mtawala wa Israeli.
# Atakuwa amani yetu
Hapa "yetu" inamrejea Mika na watu wa Israeli. "Atakuwa mtu wa amani"
# wachungaji saba na viongozi saba juu ya watu
Hapa "wachungaji" inamaanisha "watawala." pia, unaweza kutaka kuongeza rejea inayosema, "Hesabu 'saba' na 'nane' zimeunganishwa kumaanisha kwamba zitakuwa zaidi za kutosha viongozi kukutana na hitaji."