sw_tn/lev/26/34.md

16 lines
861 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nayo nchi itazifurahia Sabato zake
Hao watu walipaswa kuitii sheria ya Sabato kwa kutoilima ardhi kila mwaka wa saba. Mungu anazungumzia juu ya hili kana kwamba ardhi ilikuwa mtu ambaye angalitii sheria ya Sabato na kupuzika. : "Kisha nchi itapumzika kulingana na sheria ya Sabato" au "Kisha, kama inavyotakiwa na sheria ya Sabato, ardhi haitalimwa"
# nchi itapumzika
Mungu huzungumzia juu ya nchi kutolimwa kana kwamba alikuwa mtu ambaye angepumzika, : "haitalimwa"
# Nitatuma hofu ndani ya mioyo yenu
Kutuma hofu myoyoni mwao huwakilisha kuwafanya wao waogope"
# kana kwamba mlikuwa mkikimbia mbele za upanga
Upanga huwakilisha ama mtu mwingine aliyekuwa tayari kuua akitumia upanga au shambuzi kutoka kwa jeshi la adui. : "kana kwamba mlikuwa mkitoroka mtu mwingine aliyekuwa akiwafukuza na upanga" au kana kwamba mlikuwa mkilitorka jeshi la adui"