sw_tn/lev/26/31.md

20 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitaigeuza miji yennu kuwa magofu na kupaharibu patakatifu penu
Kwa sababu Mungu angetuma majeshi kufanya mambo haya, anasungumza kana kwamba angeyafanya yeye mwenyewe. : "Nitatuma majeshi ya maadui ili kuigeuza miji yenu magofu na kuziharibu madhabahu zenu"
# patakatifu penu
Kullikuwa na mahali ambapo watu waliabudu sanamu badala ya Mungu.
# Nami sitapendezwa na harufu nzuri ya matoleo yenu
Kwa kawaida Bwana kufurahisha na harufu nzuri huwakilisha kule kufurahishwa kwake na wanaoteketeza hizo sadaka, lakini katika hili, watu wangaliteketeza sadaka zao, lakini Mungu asingependezwa nao. : "Nanyi mteteketeza sadaka zenu, lakini stapendezwa nanyi"
# Nitaufuta upanga wangu na kuwafuatia
Hii huwakilisha utumaji wa majeshi ili kuwavamia. "Nitatuma majeshi ya maadui ili kuwashambulia nyinyi" au "Nitatuma majeshi ya maadui ili kuwashambulia nyinyi kwa mapanga"
# Nchi yenu itatelekezwa, na miji yenu itakuwa magofu
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "nany mtaitelekeza nchi yenu , nao adui zenu wataiharibu miji yenu"