sw_tn/lev/26/09.md

16 lines
610 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nitawatazama kwa upendeleo
"Nitawaonyesha upendeleo" au "Nitawabariki nyinyi"
# kuwafanya nyinyi mzae na kuwazidisha nyinyi
Virai hivi viwili vinamrejerelea Mungu akiwasababisha wao kuwa na wazao wengi kwa hiyo wanakuwa kundi kubwa.
# kuwafanya nyinyi mzae
Mungu anakuzungumzia kuwa na watoto kwao kana kwamba walikuwa miti izaayo matunda mengi. : "nitawasababisha kuwa na watoto wengi"
# Mtakula chakula kilichotunzwa ghalani kwa muda mrefu
"Mtakuwa na chakula kilichohifadhiwa ghalani cha kutosha kula kwa muda mrefu" au "Mtakuwa na chakula cha kutosha kuhifadhi ghalani na kukila kwa muda mrefu"