sw_tn/lev/23/42.md

4 lines
243 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wazao wenu, kizazi baada ya kizazi, waweze kujifunza
"kizazi baada ya kizazi" ni nahau inayomaanisha kwa kila kizazi kinachoishi baada ya kingine. "wazao wenu wa kizazi kijacho wwaweze kujifunza" au "wazao wenu wote waweze kujifunza daima"