sw_tn/lev/19/17.md

8 lines
257 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Usimchukie ndugu yako moyoni mwako
Kule kumchukia ndugu yako kwa kuendelea kumezungumziwa kana kwamba kulikuwa kumchukia mtu ndani ya moyo. : "Ussimchukie ndugu yako wa kuendelea"
# Mkemee jirani yako kwa heshima
"Yapasa umrekebishe anayetenda dhambi"