sw_tn/lev/18/04.md

8 lines
559 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sheria zangu ndizo mtakazozitenda, na amri zangu ndizo mtakazozishika
Virai hivi viwili kimsingi humaanisha kitu kile kile na vinasisitiza kwamba ni sharti watu watii kila jambo ambalo Mungu amewaamru wao walitende. Msambamba huu waweza kufasiriwa kwaiti kauli moja inayowasilisha matakwa ya kutunza amri zote za Yahweh. : "Yapasa mzitii sheria na namri zote"
# Ili kwamba mpate kutembea katika hizo
Kutii amri za Yahweh kumezunguziwa kana kwamba kulikuwa njia ambayo juu yake mtu hutembea. : "ili kwamba mweze kusimamia mwenendo yenu kulingana na hizo.