sw_tn/lev/16/29.md

20 lines
513 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa ajili yenu
Neno "yenu" humaanisha watu wa Israeli.
# katika mwezi wa saba, siku ya kumi ya mwezi,
Huu ni mwezi wa saba wa kalenda ya Kiebrania. Siku ya kumi ni karibu na mwisho wa mwezi wa septemba kwenye kalenda ya kimagharibi.
# upatanisho utafanywa kwa ajili yenu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Aroni atafanya upatanisho kwa ajili yenu"
# kuwatakasa ninyi...ili muwe safi
Tazama maelezo ya sura ya 13:23
# kwa ajili ya kusanyiko la watu.
"kwa ajili ya watu wote wa Israeli"