sw_tn/lev/16/25.md

12 lines
303 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Naye yapasa kuyatekeza
"Aroni yapasa yateketeze"
# Huyu mtu anayemwachia mbuzi wa azazeli huru, lazima afue nguo zake na kuoga mwili wake katika maji
Mtu huyu alikuwa najisi kwa sababu kugusana na na huyo mbuzi wa azazeli, aliyebeba dhambi ya watu.
# mbuzi wa azazeli
Tazama maelezo ya sura 16:8