sw_tn/lev/14/12.md

8 lines
188 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Logi
Logi mmoja ni sawasawa na lita 0.31
# katika eneo la hema
Kirai hiki kinafafanua kirai kilichotangulia na kutoa maelezo zaidi juu ama kuhani aliyekuwa amchinje huyo mwana-kondoo