sw_tn/lev/11/31.md

28 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujmla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aruni wanyama ambao watu walitakiwa kuwaona najisi
# hawa ndiyo watakuwa najisi kw
Hawa wanyama ambao Mungu amewataja kuwa hawafai kuguswa au kuliwa na watu wamezungumziwa kana kwamba walikuwa wachafu kimaumbile
# Yeyeote awagusaye...atakuwa najisi
Mtu ambaye hakubaliki kwa makusudi ya Mungu kwa sababu amegusa mmojawapo wa wanyama hawa anazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile
# hata jioni
"hata macheo"
# chombo hicho kitakuwa najisi
Chombo amacho Mungu amekitaja kuwa hakifai kwa watu kukigusa kwa sababu mwili wa mmojawapo wa myama hawa aliyekufa umeangua juu yake kimezungumziwa kana kwamba klikuwa kichafu kimaumbile. Kimezungumziwa kufaa baada ya kuwa kimeoshwa.
# Kisha kitakuwa safi.
Kitu flani ambacho Mungu amekitaja kuwa kinafaa kwa watu kukiguza baada ya kuwa kimeoshwa kimeangumziwa kana kwamba kilikuwa safi kimaumbile.
# lazima kitalowekwa katika maji
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "na vyovyote utakavyokitumia, itakupasa kukiloweka kwenye maji.