sw_tn/lev/07/07.md

12 lines
302 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni sheria ileile hutumika kwa zote mbili
"Sheria ni ileile kwa zote mbili"
# ya kuhani azitumiaye kufanya upatanisho.
Ile nomino dhahania "Upatanisho" yaweza kutamkwa kama kitenzi. : "kwa kuhani aitoaye dhabihu ili kupatanisha kwa aji;li ya dhambi za mtu fulani"
# ngozi
Vazi au ngozo ya mnyama