sw_tn/lev/06/24.md

28 lines
1003 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahweh akazungumza tena na Musa, akisema, "Sema na Aroni na wanawe uwaambie kwamba, 'Hii ndiyo sheria
Hii ni nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu taarifa yenyekutajwa. : "Yahweh alizungumza na Musa na akamwambia kuzungumza na Aroni na wanawe, akimwambia, 'Hii ndiyo sheria'"
# Sema na Aroni na wanawe
Yahweh anazungumza na Aroni na wanawe, lakini kanuni hizi zinatekelezeka kwa makuhani. Maana kamili ya maelezo haya yaweza kufanywa wazi.
# Sadaka ya dhambi lazima ichinjwe... mbele za Yahweh
Yaweza kuwekwa wazi kwamba hii hurejelea upande wa kaskazini wa madhabahu. Tazama 1:10
# inapochinjwa sadaka ya kuteketezwa
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji:. : "Yakupasa kuichinjwa sadaka"
# Sadaka ya dhambi lazima ichinjwe
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "mahali unapomchinjia mnyama wa sadaka ya kuteketezwa"
# mbele za Yahweh
"kwa Yahweh"
# Nayo yapasa kuliwa
Hii yaweza kutmkwa katika mtindo wa utendaji. : "Yampasa kuila"