sw_tn/lev/04/11.md

12 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ngozi ... mabaki yoyote ya nyama, atazipeleka hizo zote nje
Yale maelezo "atazipeleka hizi zote" Yaweza kuweka mwanzoni mwa sentensi. : "Kuhani atapeleka nje hiyo ngozi..mabaki ya fahali"
# eneo ambalo wamelisafisha kwa ajili yangu
Eneo kuwa safi kiibada na pa kufaa kutumia katika kumtumikia Mungu linasemwa kuwa lilikuwa safi kimaumbile.
# wamelisafisha kwa ajili yangu
"Wamelisafisha" hapa humaanisha hao makuhani na "Mimi" humaanisha Yahweh.