sw_tn/lev/03/12.md

16 lines
585 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mbele za Yahweh
"katika uwepo wa Yahweh" au "kwa Yahweh"
# Ataweka mikono yake juu ya kichw
Hili ni tendo la kiishara ambalo humfananisha mtu na mnyama anayemtoa. Kwa njia hii mtu huyo atakuwa anajitoa mwenyewe kwa Yahweh kupitia mnyama.Tazama maelezo katika 1:3
# wana wa Aroni watainyunyiza damu yake
Inaashiria kwamba kabla hawajainyunyiza hiyo damu, waliikinga kwanza kwenye bakuli ilipokuwa ikichuruzika kutoka kwa mnyama.
# atatoa dhabihu yake iliyofanywa kwa mot
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo tendaji. : "ataitoa sdhabihu yake kwa moto" au "ataichoma dhabihu yake"