sw_tn/lam/02/15.md

16 lines
458 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wana piga makofi
namna ambazo watu wana wa tania wengine na kuwa tusi
# binti wa Yerusalemu
Hili ni jina la kishairi la Yerusalemu, ambalo hapa la zungumziwa kama ni mwanamke.
# Huu ndio mji walio uita 'Ukamilifu wa uzuri,' ''?
Hili ni swali linalo tumika kueleza kejeli." Huu mji walio uwita 'Ukamilifu wa uzuri,' 'Furaha ya Dunia Yote' sio mzuri wala wafuraha tena!"
# Tumemmeza yeye
"Tumeharibu Yerusalemu kabisa" kama mnyama anavyo meza chakula