sw_tn/jos/21/08.md

12 lines
518 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Yahweh alivyokuwa ameagiza kwa mkono wa Musa
Kirai "kwa mkono wa" kina maana kwamba Yahweh alimtumia Musa kama chombo ili kuleta agizo lake.
# koo za Wakohathi
Makuhani katika kundi hili walikuwa ni wazawa wa mwana wa Lawi aliyeitwa Kohathi. Sehemu yao nyingine walikuwa ni wazawa wa Haruni, ambaye ni mjukuu wa Kohathi.
# Upigaji wa kura
Hii ni njia ya kuchagua ambayo ilikuwa ya kubahatisha yaani bila mpango maalumu ili kuondoa utashi wa viongozi, mara kwa mara ilifanywa kwa wazo kuwa Mungu ataamua matokeo