sw_tn/jos/19/51.md

4 lines
153 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Na huu ndio urith...waligawa
Nchi na miji ambayo makabila mbalimbali yaliipokea inasemwa kama ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu.