sw_tn/jos/14/10.md

16 lines
423 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Tazama
"Sikiliza" Neno hili linaongeza mkazo kwa kile kilichosemwa baadaye.
# wakati huo Waisraeli walikuwa wakitembea jangwani
"Wakati watu wa israeli walisafiri huko jangwani"
# Nguvu zangu za sasa ni sawa na nguvu zangu za kipindi kile
"Bado nina nguvu sasa kama nilivyokuwa hapo mwanzo."
# kwa kwenda na kwa kuja.
Hii ni nahau inayorejelea shughuli za kila siku. "Kwa ajili ya mambo ninayoyafanya kila siku."