sw_tn/jos/14/01.md

12 lines
570 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maeneo haya ya nchi ambayo watu wa Israeli waliyapokea kama urithi wao
Nchi ambayo waisraeli waliipata inazungumzwa kana kwamba ilikuwa ni urithi ambao waliupata kama mali ya kudumu.
# Urith huu uligawanywa kwao na Eliazeri kuhani, na Yoshua mwana wa Nuni, na viongozi wa makabila ya mababu wa familia zao kati ya watu wa Israeli
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "ambao Eliazeri kuhani , mwana wa Yoshua mwana wa Nuni na viongozi wa makabila ya familia za mababu zao katika Israeli waliwapa."
# Viongozi wa makabila
Hawa walikuwa viongozi wa kila kabila