sw_tn/jos/07/25.md

16 lines
597 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# "Kwanini umetusumbua?
Yoshua anatumia swali hili kumkemea Akani. "Umetutesa"
# Na wakawachoma wote kwa moto, na wakawapiga mawe
Maana zinazokubalika 1) Waisraeli waliichoma familia ya Akani hadi kifo na kisha wakawafunika kwa mawe. 2) Waisraeli waliipiga kwa mawe familia ya Akani na kisha wakaichoma kwa moto miili yao.
# Yahweh akaachilia mbali hasira yake
Kuachilia mbali hasira ina maana ya kuacha kuwa na hasira. Kuwaka kwa hasira ina maana ya kuwa na hasira kali.
# hata leo
Ilikuwa bado linaitwa bonde la Akori katika kipindi ambacho mwandishi aliandika. "hata leo" au "hata sasa"