sw_tn/jos/02/23.md

28 lines
621 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wale watu wawili walirudi
Watu wawili walirudi katika kambi ya Waisraeli
# walirudi na kuvuka mto
Haya maelezo ya maana sawa yakirejelea kurudi kule walikokuwa katika kambi ya Waisraeli
# kuvuka
"kuvuka'' ina maana ya kwenda upande wa pili wa ukingo wa mto. Kusafiri kutoka upande huu hadi upande wa pili wa Yordani"
# Nuni
Hili ni jina la kiume; baba yake na Yoshua
# kila kitu kilichotokea kwao
"mambo yote ambayo watu walikuwa wameyapata na kuyaona."
# sisi
Neno hili 'sisi' linawarejelea Waisraeli
# Wenyeji wote wa nchi wanayeyuka
Watu wa nchi mbele ya Israeli ni kama kitu kinachoyeyuka katika joto.