sw_tn/jos/02/18.md

28 lines
604 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Sentensi kiunganishi
Wapelelezi wa Kiisraeli wanafafanua sharti walilolisema katika 2:15
# Maelezo ya jumla
Wapelelezi wa Kiisraeli wanaendelea kuongea na Rahabu
# Na yeyote aendaye mtaani nje ya milango ya nyumba yako
Maneno haya yanaelezea juu ya sharti kwa kuweka hali ambayo yaweza kutokea
# damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao
Hii ina maana ya "kifo chao kitakuwa kwasababu ya makosa yao wenyewe"
# juu ya vichwa vyao
Neno "vichwa" linawakilisha uwajibikaji binafsi
# hawatakuwa na hatia yoyote
watakuwa waadilifu wasio na kosa
# kama mkono utanyoshwa juu
"kama tutasababisha madhara