sw_tn/jon/01/14.md

24 lines
792 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hiyo
Ilikuwa ni matokeo ya dhoruba ya kuwa mbaya zaidi ambayo ilisababisha jibu la pili. AT "Kwa sababu bahari ikawa imechafuka zaidi"
# akamlilia Bwana
watu wakamuomba bwana
# usiache tuangamize kwa sababu ya maisha ya mtu huyu
"Tafadhali usituue kwa sababu tumemfanya mtu huyu afe' au 'Tutakwenda kusababisha mtu huyu afe. Lakini tafadhali usituue"
# wala usituwekee hatia ya kifo chake
"na tafadhali usitulaumu kwa kifo chake" au "wala usichukue hatia wakati mtu huyu akifa." Mwandishi anazungumzia "hatia" kama ni kitu ambacho kinaweza kuwekwa juu ya mtu. Inahusu kumfanya mtu huyo awejibika kwa matendo yao.
# bahari ikaacha kuchafuka
"bahari iliacha kusonga kwa ukali" au "bahari ikawa tulivu" (UDB
# walimuogopa sana Bwana
"walishangaa sana kwa nguvu za Bwana" (UDB)