sw_tn/jol/02/12.md

12 lines
266 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote
AT 'Ondoa mbali na dhambi zako na kujitolea kikamilifu kwangu'
# Rarueni miyoyo yenu, si mavazi yenu
Kuvaa nguo za mtu ni kazi ya nje ya aibu au toba. 'Kuvuta moyo' ina maana ya kuwa na mtazamo wa toba pia.
# kugeuka
simama