sw_tn/job/36/15.md

12 lines
295 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hufungua masikio yao
angalia ulivyotafsiria katika 36:10
# meza yenu ingewekwa
"Watumishi wako wangeiweka meza yako"
# chakula kilichojaa mafuta
nyama yenye mafuta mengi ilikuwa ni ishara ya mafanikio kwasababu wanyama walikuwa na afya njema na walilishwa vizuri. "vyakula vizuri sana"