sw_tn/job/32/08.md

8 lines
202 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza na Ayubu na marafiki zake.
# roho.... pumzi ya Mwenye nguvu
Virai hivi vinamaanisha kitu kimoja. Elihu anakazia kwamba hekima ya watu hutoka kwa Mungu.