sw_tn/job/20/08.md

24 lines
737 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Sofari anaendelea kuzungumza kwa Ayubu.
# Yeye ata
"Mtu mwovu ata"
# atapaa mbali kama ndoto .... yeye atakuwa amefukuzwa mbali kama ono la usiku.
Katika sentensi hii neno "paa mbali" na "kufukuzwa mbali" yanawakilisha kutoonekana au kusahauliwa, kwa maana ndoto na maono hupotea wakati watu wanapozisahau. "Yeye hataonekana kama ndoto ....yeye atasahaulik akama ono la usiku"
# na hataonekana tena
"na hakuna mtu yeyote atayemuona"
# Jicho ambalo lilimuona yeye
Macho yanawakilisha mtu. "Mtu yeyote ambaye amemuona yeye", au "Watu waliomuona yeye"
# mahali pake
Tungo "mahali pake yeye" inawakilisha wale walioishi katika sehemu yake yeye" "watu ambao huishi katika sehemu yake yeye' au" familia yake"