sw_tn/job/19/25.md

32 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Ayubu anaendelea kuzungumza kwa rafiki zake watatu.
# mkombozi wangu
Katika sentensi hii neno"mkombozi" linamaanisha mtu ambaye atamwokoa Ayubu kwa kthibitisha kuwwa Ayubu hana hatia., kurudisha heshima yake, na kumpa yeye haki. "Mtetezi wangu"
# hata mwisho atasimama katika nchi;
Sentensi hii inamaanisha kusimama katika mahakama. Mkombozi atakuwa wa mwisho kuzungumza katika mahakama. "Yeye atahukumu ikiwa mimi ni mwenye hatia au hapana"mwisho atanitetea mimi katika mahakama"
# baada ya ngozi yangu, hivyo ndivyo, mwili huu, unaharibiwa,
mwili wake yeye kuwa umeharibiwa au mwili wak kuoza baada ya yeye kuwa amekufa.
# katika mwili wangu mimi Nitamwona Mungu.
Nyama yake inawakilisha mwili wake , na "katika nyama yangu" inamaanisha katika kuwa hai. Waakati Mimi ninaishi katika mwili wangu, Mimi nitamwona Mungu"
# macho yangu mwenyewe-Mimi, na siyo mtu mwingine....nitamwona yeye
Neno"macho yangu"yanawakilisha Ayubu. Na tungo "macho yangu" "na" na "siyo mtu mwingie" kusisitiza kuwa Ayubu kwa hakika atamwona Mungu. Na siyo mtu mwingine atamwona Mungu na kumwambia Ayubu kuhusu yeye.
# Figo zangu hushindwa ndani yangu
Watu walifikiri kwamba kwenye figo ndipo palipo na hisia. Hivyo figo kushindwa kufanya kazi inawakilisha yeye kuwa mwenye hisia nyingi sana. "Mimi ni mwenye hisia kali juu yake" au hisia zangu zinanitaabisha mimi kama vile nifikirivyo juu yake"
# Figo zangu hushindwa ndani yangu
Maana za za sentensi hii zaweza kuwa : Ayubu anajisikia mwenye matumaini sana, mwenye shukrani, na mwenye furaha au Ayubu anajisikia mwenye kuchoka sana kusubiri kumwona mkombozi wake.