sw_tn/job/16/18.md

28 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nchi, haifuniki juu damu yangu mimi
Ayubu anazungumza kwa " nchi"moja kwa moja japokuwa haiwezi kumsikia yeye, kutilia mkazo kwenye hoja yake. Nchi imepewa sifa za kutenda kama binadamu kuifunika juu damu yake baada ya yeye kufa. "Mimi ningependa damu yangu ilowane ndani ya ardhi lakini hiyo ingebaki juu ya ardhi kama uthibitisho wa jinsi nilivyokufa"
# Nchi, haifuniki juu damu yangu mimi
Ayubu anajisema yeye mwenyewe akifa kama vile yee angechinjwa . "Damu" yake ni mfano kuonyesha kifo chake yeye. "Nchi, wakati nikifa , usifiche jinsi nilivyokufa visivystahili" au"na isiwe imefichika jinsi ninavyokufa isivyostahili"
# acha kulia kwangu kuwe hakuna mahali pa kupumzika.
Ayubu anazungumzia juu ya kumtaka kila mmoja kujua kile kilichotoke kwake yeye kama "kilio" chake alikuwa mtu ambaye hakuacha kamwe kushuhudia kile ambacho kilitokea kwake yeye na hakupumzika kamwe. "Acheni kila mmoja asikie kuhusu kile ambacho kilitokea kwangu mimi"
# tazama
Ayubu anatumia neno hili kuvuta usikivu kwa kile ambacho yeye anachokisema baadaye. "sikilizeni"
# ushuhuda wangu uko mbinguni
Ayubu anatumaini kuwa mtu fulani atazungumza juu yake kwa Mungu.
# ashuhudiaye
"hushuhudia"
# yuko juu
Hii ni nahau. "mbinguni" au "juu mbinguni"