sw_tn/job/11/13.md

20 lines
819 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ikiwa umeuelekeza moyo wako kwa haki
Moyo huwakilisha fikra na mitazamo. Kuuelekeza inawakilisha kuusahihisha. "hata kama wewe umeusahihisha mtazamo wako."
# na umeunyosha mkono wako karibu na Mungu;
Hiki ni kitendo cha ishara kuwakilisha kumwomba Mungu msaada. "na amefanya kusihi, ameomba kwa Mungu.
# ikiwa huo uovu ulikuwa katika mikono yako
Mkono unawakilisha kile ambacho mtu anakifanya. "hata ikiwa wewe umefanya vitu viovu katika wakati uliopita."
# lakini hivyo tena unauweka mbali nawe,
Kuiweka dhambi nyuma inawakilisha kuacha kutenda dhambi. "lakini kwamba tena wewe unaacha kufanya dhambi."
# haukuruhusu kutokuwa mwenye haki kukaa hemani mwako.
Maisha yasiyo ya haki yanawakilisha watu kufanya mambo yasiyo ya haki. "na wewe hukuwaruhusu watu wa nyumba yako kufanya mambo yasiyo ya haki."