sw_tn/job/10/12.md

24 lines
779 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wewe umenizawadia mimi uhai na ahadi ya upendeleo
Hapa jina la kufikirika "maisha" linamaanisha maisha ya mwili na "ahadi ya upendeleo" inahusiana na Mungu kuwa mwaminifu kwa ahadi zake. Yanaweza kutafsiriwa kama vitenzi. "Wewe umeniruhusu kuishi na kwa uaminifu hunilinda mimi"
# usaidizi wako
"utunzaji wako"
# umeilinda roho yangu
Hapa "moyo" inahusiana na maisha ya Ayubu. "umenikinga mimi" au "umenichunga kwa uangalifu sana mimi" au "umeniweka mimi salama"
# mambo haya uliyaficha moyoni mwako
Hapa "mambo haya" yanahusiana na mambo yaliyoongelewa katika mistari inayofuata.
# mambo haya uliyaficha moyoni mwako
Hapa "umeficha moyoni mwako" inamaanisha Mungu ameyaweka siri au umeyaficha. "mambo haya umeyaweka siri"
# wewe utaizingatia
"wewe utanilinda mimi"