sw_tn/job/09/21.md

44 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mimi ni mtakatifu
"Mimi ni kamili"
# kuhusu mimi mwenyewe
"nini kinanitokea"
# Haileti tofauti
"yote ni sawa" au "haina shida"
# huangamiza watu wasio na makosa na waovu pia
"yeye huwafikisha kila mmoja mwisho, kama ni wasio na kosa au waovu"
# Kama hilo pigo liliua ghafla
"Kama baa linaweza kuua watu ghafra"
# mateso ya watu wasio na makosa
Jina la kufikirika "wasio na makosa" linaweza kutafasiriwa kama kitenzi "tesa." "wakati watu wasio na makosa wakiteswa"
# Dunia imetiwa
Hii inaweza kusemwa katika hali halisi. "Mungu anatoa nchi"
# Dunia
Hapa "nchi" imetumika kuwakilisha watu waishio juu ya nchi. "Watu wa ulimwengu ni"
# mkononi mwa
Hapa "mkono" ni mfano wa "udhibiti." "chini ya udhibiti wa"
# Mungu hufunika nyuso za waamuzi
Usemi huu unamaanisha Mungu huwasimamia waamuzi wa nchi katika kuweza kuona tofauti kati ya wema na uovu. "Mungu huwapofusha waamuzi" au "Mungu husimamia waamuzi katika kutoa hukumu kwa haki"
# kama si yeye hufanya, ni nani basi?
"Kama si Mungu ambaye hufanya mambo haya, halafu nani hufanya haya?"