forked from WA-Catalog/sw_tn
32 lines
933 B
Markdown
32 lines
933 B
Markdown
|
# hekima moyoni
|
||
|
|
||
|
Hapa moyo unawakilisha utu wa ndani au fikira. "ana hekima katika maamuzi yake"
|
||
|
|
||
|
# mwenye uwezo mwingi
|
||
|
|
||
|
Jina la kuwazika "nguvu" inaweza kuelezewa kama kisifa "imara." "mwenye nguvu kwa jinsi alivyo imara"
|
||
|
|
||
|
# ni nani daima aliyejifanya mwenyewe kuwa mgumu dhidi yake na akafanikiwa?
|
||
|
|
||
|
Hili ni swali la kejeri ambalo linahitaji jibu la "hakuna hata mmoja." Linaweza kupangiliwa kama maelezo. "Hapa mmoja aliyewahi mwenyewe kujifanya mgumu dhidi yake na akafanikiwa."
|
||
|
|
||
|
# aliyejifanya mwenyewe kuwa mgumu dhidi yake
|
||
|
|
||
|
Kujifanya mgumu inamaanisha kuwa mkaidi. "kumbishia yeye" au "kumpinga yeye"
|
||
|
|
||
|
# ambaye huiondoa milima
|
||
|
|
||
|
"Mungu huhamisha milima"
|
||
|
|
||
|
# katika hasira zake
|
||
|
|
||
|
"Hasira" ni jina la kufikirika tu linaweza kuelezewa kama "mwenye hasira" katika kivumishi cha sifa. "kwasababu yeye ni mwenye hasira"
|
||
|
|
||
|
# ambaye huitikisa nchi
|
||
|
|
||
|
"Mungu hutikisa nchi"
|
||
|
|
||
|
# mihimili yake hutikisika.
|
||
|
|
||
|
"hufanya misingi ya nyumba itikisike"
|