forked from WA-Catalog/sw_tn
28 lines
1.3 KiB
Markdown
28 lines
1.3 KiB
Markdown
|
# Habari za Jumla:
|
||
|
|
||
|
Katika mstari wa 16 - 17, mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji, kuwasilisha wazo moja akitumia taarifa mbili tofauti kueleza ugumu, mfuko wa muda wa kusaidia wa waovu.
|
||
|
|
||
|
# Yeye huwa mti mbichi chini ya jua, na machipukizi yake huenea katika bustani yake yote
|
||
|
|
||
|
Hapa Bildadi analinganisha waovu na mti ambao husitawi wakati wa mchana; mwanzoni vyote huonekana hai, mbichi, na bora.
|
||
|
|
||
|
# Mizizi yake hujifunga funga kwenye rundo la mawe
|
||
|
|
||
|
Mizizi ya watu waovu hushikamana si katika udongo wenye rutuba lakini kwa mawe. ardhi ya mawe haisaidii mimea kumea. Mizizi ya mtu huyu itakufa mapema. "Mizizi yake hushika kwenye ardhi ya mawe."
|
||
|
|
||
|
# huangalia mahali pazuri katikati ya mawe
|
||
|
|
||
|
Neno "wao" inahusu mizizi ya watu waovu. "hutafuta ardhi yenye rutuba miongoni mwa mawe" au "hutafuta udongo wenye rutuba miongoni mwa mawe"
|
||
|
|
||
|
# Lakini mtu huyu aking'olewa mahali pake, kisha mahali pale patamkana, na kusema, 'mimi sikukuona
|
||
|
|
||
|
Watu waovu wanalinganishwa na mmea ambao, wakati ukiondolewa kutoka kwenye msingi wa mawe, hautambuliki mahali pote kwasababu hauwezi kustawi katika sehemu yoyote yenye rutuba. "kama hautaondolewa kutoka sehemu yake, utamkana yeye nakusema, 'Mimi sijawahi kukuona wewe."
|
||
|
|
||
|
# mahali pale patamkana, na kusema
|
||
|
|
||
|
Uwezo wa mwanadamu kukana na kusema imetumiwa kwa ardhi ya mawe.
|
||
|
|
||
|
# mahali pake
|
||
|
|
||
|
"ardhi ya mawe"
|