sw_tn/job/06/12.md

16 lines
778 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya Jumla:
Mwandishi anatumia maswali ulinganishi ya kejeli katika kila mistari hii, akiwasilisha wazo moja kutumia maelezo mawili tofauti kusisitiza ukosefu wa nguvu za kustahamili mateso.
# Je nguvu zangu ni nguvu za mawe? Au mwili wangu umeumbwa kwa shaba nyeusi?
Ayubu analinganisha udhaifu wa mwili wake na ugumu, vifaa vya ujenzi vya kudumu sana kusisitiza ukosefu wake wa nguvu. "Mimi siko imara kama mawe. Mwili wangu hujaumbwa kwa kokoto za kutengenezea barabara."
# Je si kweli kwamba sina msaada ndani yangu ... nami?
"Ni kweli kwamba sinanguvu zilizobaki ... mimi."
# hekima imeondolewa mbali nami?
"mafanikio yangu yameondolewa kwangu" au "au "nguvu za ndani zimeondolewa kwangu" Hii inaweza kutajwa katika muundo hai. "Nguvu zangu za ndani zienda."