sw_tn/job/06/04.md

44 lines
1.6 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari za Jumla:
Mwandishi anaendelea kutumia ulinganishaji katika kila moja ya mistari hii, akiwasilisha wazo moja akitumia maelezo mawili tofauti kusisitiza maumivu makali sana ya Ayubu kama sababu ya malalamiko yake.
# Kwa kuwa vitisho vya Mungu vimejipanga vyenyewe dhidi yangu
Huu ni ulinganishi wa mateso ya Ayubu. Yeye analinganisha taabu zake nyingi na mishale ambayo choma mwili wake.
# moyo wangu umelewa sumu
Ulinganishaji unaendelea. Maumivu yamepenya hadi moyoni mwa Ayubu. "Nasikia maumivu ndani ya moyo wangu."
# Vitisho vya Mungu vimejipanga vyenyewe dhidi yangu
"mambo yote mabaya sana ambayo yameweza kutokea dhidi yangu yamekuja kwa wakati mmoja."
# kwa mishale
"kama kikosi cha jeshi chini ya kanali" u "kama kundi la wanajeshi"
# Je punda mwitu hulia akiwa na malisho? Au ng'ombe huwa dhaifu wakati wa njaa ambapo anachakula?
Ayubu anatoa maswali haya kusisitiza kwamba ana maana nzuri kulalamika. " Tafadhari mimi ningelilalamika kama kila kitu kipo vizuri?" au "Tafadhari mimi nisingelilalamika bila sababu."
# mlio
ni sauti aitoayo punda
# dhaifu
sauti aitoayo ng'ombe
# chakula
chakula cha mifugo
# Je inawezekana kitu kisicho na ladha kulika bila chumvi? Au kuna radha yoyote katika ute mweupe wa yai?
Hata chakula, au hali ya mambo, katika maisha ya Ayubu ni ya kuhuzunisha. Ayubu analinganisha maisha yake na mlo ambao hauna viungo au ladha. "Maisha yangu hayana mwokoaji; ni kama ute mweupe wa yai usio na ladha."
# Je inawezekana kitu kisicho na ladha kulika
Swali hili la kutoonyesha hisia linaweza kutafasiriwa kama maelezo hai: "Mtu hawezi kula chakula chenye ladha mbaya bil chumvi."