sw_tn/job/05/01.md

24 lines
802 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Utamrudia yupi katika watakatifu hao?
Elifazi anatoa swali hili kutengeneza hoja kuwa hakuna hata mmoja Ayubu anaweza kumgeukia kwa ajili ya msaada. "Je kuna mtakatifu yeyote ambaye unaweza kumgeukia?" au "Hakuna mtakatifu yeyote ambaye unaweza kumgeukia kwa ajili ya msaada."
# watakatifu
Hii imaanisha viumbe bora kwa asili katika baadhi ya tabia, kama malaika au roho zingine
# mjinga ... mtu mpumbavu
Hii inahusiana na mtu yeyote mjinga na mtu yeyote mpuuzi.
# wivu huua mjinga
"wivu huua yeyote ambaye anatenda kijinga na maamuzi ya ghafla"
# mtu mpumbavu akishika mzizi
Hapa mtu anazungumziwa kana kwamba ni mmea, huenda anakuwa mpuuzi zaidi kadri muda unavyosogea. "mtu mpuuzi anakuwa amejengwa katika ujinga zaidi"
# makazi yake
Hii inahusiana na familia ya mtu na mali zake zote.