sw_tn/job/03/01.md

20 lines
713 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akafunua kinywa chake
"alianza kusema"
# Na ipotelee mbali siku niliyozaliwa mimi, usiku
Ayubu anaongea juu ya siku na usiku kana kwamba walikuwa watu. "Na tamani kwamba nisingekuwa nimezaliwa."
# usiku uliosema, 'Mimba ya mtoto wa kiume imetungwa.'
kujieleza huku kunazidi maelezo ya huzuni ya Ayubu kwa kwenda wakati wa nyuma zaidi kutoka kuzaliwa kwake hadi kutungwa mimba yake. "usiku ambao ulisema, "Mtoto wa kiume amechukuliwa mimba' potevu."
# usiku uliosema
Hapa usiku umeongelewa kana kwamba walikuwa watu ambao wanaweza kuongea. ... "usiku ule ambao watu walisema."
# Mimba ya mtoto wa kiume imetungwa.'
Hii inaweza kuwekwa katika muundo hai. " mama yake amechukuwa mimba ya mtoto wa kiume."