sw_tn/job/02/04.md

28 lines
893 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ngozi kwa ngozi, hasa
"Ngozi" ni mfano wa maisha ya Ayubu. "Mtu atafanya chochote kuokoa maisha yake, hata kukubali kupoteza mali zake na wapendwa."
# Lakini nyosha mkono wako sasa na uguse mifupa yake na nyama yake, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako.
Shetani anamaanisha kwamba kama Mungu atamshambulia Ayubu, yeye ataona namna Ayubu atakavyojibu. "Lakini sasa, kama utanyosha mkono wako na uguse mifupa yake na nyama yake, utaona utakavyokufuru mbele ya uso wako"
# nyosha mkono wako
Hapa "mkono" unahusu uwezo wa Mungu kutenda. "Lakini sasa tumia nguvu zako." Tafsiri kama katika 1: 9.
# gusa
Hapa "gusa" huwakilisha kitendo cha kudhuru. "shambulio"
# mifupa yake na nyama yake
Maelezo haya yanawakilisha mwili wa Ayubu.
# kufuru mbele ya uso wako
Tafasiri kama katika 1: 9.
# uso wako
Hii inahusiana na wakati ambao Mungu yupo makini. "katika uwezo wako wa kusikia"