sw_tn/jer/44/09.md

12 lines
413 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mmesahau maovu yaliyofanywa na baba zenu na uovu uliofanywa na wafalme wa Yuda na wake zao?
"mmesahau uovu ambao baba zenu waliufanya! mmesahau uovu ambao wafalme wa Yuda na wake zao waliufanya."
# Mmesahau uovu mlioufanya na wake zenu ... Yerusalemu?
"mmesahau uovu ambao ninyi na wake zenu mmeufanya ... Yerusalemu."
# Mitaa ya Yerusalemu
Yerusalemu imezungumzwa kama sehemu ya mji ambapo watu hutembea.