sw_tn/jer/33/23.md

8 lines
313 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Neno la Yahwe likaja kwa.
Angalia sura ya 1:1
# Hamkuzingatia walichotangaza watu hawa waliposema, "Zile familia mbili ambazo Yahwel alizichagua, sasa amezikataa'?
Swali hilimlimeuizwa kwa lengo la kuweka msisitizo. "Mlipaswa kutambua kuwa watu wanasema kuwa nimezikataa zile koo mbili ambazo nilizichagua."