sw_tn/jer/20/01.md

20 lines
471 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Angalia
# alikuwa msimamizi mkuu
Hapa neno "yeye" linamaanisha Pashuri.
# Pashuri akampiga Yeremia
Inawezekana maana ni 1) kwamba Pashuri mwenyewe alimpiga Yeremia au 2) Pashuri aliwaamuru watu wengine kumpiga Yeremia.
# masanduku
Hifadhi ni sura ya mbao na mashimo ambayo watu hutumia kuifunga mikono, miguu, na kichwa cha mfungwa.
# Lango la juu la Benyamini
Lango hili ni tofauti na lango katika ukuta wa jiji ambalo lilikuwa na jina sawa.