sw_tn/jer/16/10.md

8 lines
327 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# hili ni tamko la bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# Maneno "akainama chini" yanamaanisha kimsingi kitu kimoja kama "kuabudu" na inaelezea mkao ambao watu walitumia katika ibada.
Maneno "akainama chini" yanamaanisha kimsingi kitu kimoja kama "kuabudu" na inaelezea mkao ambao watu walitumia katika ibada.