sw_tn/jer/16/05.md

20 lines
751 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimekusanya amani yangu, uaminifu wa agano, na matendo ya huruma huruma
Bwana hukusanya njia tofauti ambazo amewabariki watu wa Israeli kumaanisha kwamba hawatabariki tena watu wa Israeli.
# Tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# wakuu na wadogo
Hii inahusu kila aina ya watu na hutumia ukubwa ili kutaja umuhimu wao. Ama umuhimu mkubwa au umuhimu mdogo.
# wala mtu yeyote atawaomboleza. Hakuna mtu atakayejikata au kunyoa vichwa vyao kwa ajili yao
Maneno haya mawili yana maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza. AT "Hakuna mtu atakayewaomboleza kwa njia yoyote."
# atakayejikata-kata au kunyoa vichwa vyao kwa ajili yao.
Hizi ni desturi ambazo watu walitumia kuonyesha kuwa walikuwa na huzuni sana.