sw_tn/jer/11/03.md

8 lines
242 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tanuru
inapokanzwa chuma kwa fomu ya maji
# nchi iliyojaa maziwa na asali
Hii inamaanisha kwamba ardhi itakuwa tajiri na yenye mazao, kwa hiyo kutakuwa na chakula cha kutosha kwa kila mtu. AT "ardhi ambayo ni bora kwa ng'ombe na kilimo"