sw_tn/jer/07/24.md

36 lines
743 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuwakumbusha wa Yuda jinsi watu wa Israeli walivyoasi
# kwa kufuata mipango yao ya uasi ya mioyo ya maovu
"kwa kufuata mipango yao kwa sababu walikuwa waovu na wasumbufu
# kwa hiyo walirudi nyuma badala ya kuendelea mbele
"kwa hiyo walikataa kunisikiliza mimi, badala ya kunisikiliza kwa makini"
# watumishi wangu
"watumishi wangu wote
# Niliendelea kuwatuma
"kwa bidii niliwatuma kila siku"
# manabii wangu, kwenu
neno "kwenu" linamaanisha watu wa Yuda na mababu zao wote.
# Hawakunisikiliza
neno "ha" linamaanisha watu wa Israeli walioishi tangu mababu zao kutoka Misri.
# walishupaza shingo zao
"kwa ukatili walikataakunisikiliza"
# waikuwa waovu zaidi
"kila kizazi kilikuwa cha uovu"